Natafuta mume wa kuishi nae

Natafuta mume wa kuishi nae

Status
Not open for further replies.
Hahahahaha kama bikra IPO wadau watavumilia Ila kama ni chenga iyo itakuwa ni kucheza biko
Hapo kwenye kusubiri SEX ndo wengi patatukwamisha...labda kwa faida ya wengi ungedeclare kabisa kama una BIKRA AU LA!
 
6. Awe tayari kupima vvu kabla ya chochote na alie tayari kusubiri hadi tufunge ndoa Ndio tu sex.
Tuweke hoja kiuhalisia
- Hapo kwenye kijani, its okay yawezekana
- Ila hapo kwenye RED sidhani kama utaeleweka, kwa mtu wa umri huo unayemuitaji, labda daktari athibitishe kuwa .......never touched
 
Awe tayari kupima vvu kabla ya chochote na alie tayari kusubiri hadi tufunge ndoa Ndio tu sex.
Nakaribisha wenye vigezo watume inbox.
Wakati mwema
Hivi hiyo confidence unaitolea wapi bidada. hapo jipange kumuumba mtu wako. haya maisha yamebadilika saivi sio ku sex tu. Tunahakikisha na uwezo wa ku conceive kabla ya ndoa. maana kwa age yako nisubiri ndoa we bikra?
 
Kwamba asiwe mtoto wa Nje???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili mirathi iwahusuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom