Natafuta mume wa kuishi nae

Status
Not open for further replies.
Marry naomba ni pm,nifanye mazungumzo nawe,ninahtaji sura ya kinyarwanda kama yako .naomba sana njoo pm
 

Kwani wewe ni Me au Ke??
 
Kakabisa, kwanza ngoja tu nifunge PM


Elewa kiswahili vizuri, sikukutukana bali nilitoa maoni yangu. Halafu dada inaonekana hujielewi, ndo maana umefikisha miaka 30 bila mume, sasa ulivokuja humu jf kuanzisha uzi ulkuwa hujui kwamba wanaume waongo wapo? Wanaume walioko mtaani ndo waliomo humu jf..mara umewakaribisha watu pm, mara sahivi unasema umefunga pm..inaonekana ulifungua uzi ili tu kupata attention ya vidume, na nilijua hayo yote ndo maana sikujisumbua kuku-pm, endelea kuchamba kwa mda mrefu mama, ukitoka na ma.vi usilaumu mtu Marry Hunbig
 
Marry njoo pm nimependa sura yako ya kinyarwanda,naomba mnoo tuzungumze
 
Aggy una akili sana ila muda mwingine ukiamua kujitoa ufahamu unajitoa haswaa
 
Ahsante
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…