Natafuta mume wa kunioa, awe HIV+

Natafuta mume wa kunioa, awe HIV+

Pole Dada yangu kama uliupata kwa kuletewa na mwenzi wako ama ulizaliwa nao ama njia nyinginezo tofauti na kucheat
 
Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50.

Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu.

Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
All the best. Japo am not sure kama upo serious au la.
 
Si atakuongezea vidudu? Awe negative ili umgawie vidudu, mgawane. Maisha yaendelee kwa upendo. Negative akikubali ujue ana upendo wa dhati.
 
Back
Top Bottom