Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

Nimeweka email address kwenye thread, nitatoa namba later kwa ambaye tutakubaliana. So mean time tuwasiliane kwa email hiyo.

Bado hutatoa information zako, hio nakala yako please ongeza nyama.
 
30yrs!;Wewe ushazeeka tayari.Uliibania mno;Halafu hiyo ya kubagua dini ndio kabisaaa ishakukosesha Mme coz mwanamke hana dini ni wa wote.

Ikiwa kinywa chako kina mapengo najua na hio akili pia ina mapengo. Dada kajielezea anachokitaka sasa hizo dharau zako za nini? au na hayo matako yako pia Yana mapengo??
 
Sifa zote ninazo, tena nimeshaoa, uko tayari kuwa mke wa pili? Maana dini inaruhusu
 
Mkeo anatokea mtaani kwenu pia?? Acha dharau mbululaz wewe. Mbona kajielezea vizuri tu

Uelewa wako wa mtaa ndio umeishia hapo ,?? Ndio mke wangu anatokea mtaani kwetu
 
Nikwambie kitu,Unatatizo ambalo kama hutashughulika nalo litakusumbua hata baada ya Kuolewa pia kwani Issue sio kuolewa the issue is what made you not to?If that isn't solved then expect zero gaining.I can help you if you wish.
Call me at 0656-880-804
 
Daa sifa zangu zimepelea kidogo hasa kakipengele ka dini
 

Nipe mawasiliano
 
30yrs!;Wewe ushazeeka tayari.Uliibania mno;Halafu hiyo ya kubagua dini ndio kabisaaa ishakukosesha Mme coz mwanamke hana dini ni wa wote.

30yrs wala sio mzee, hapo ndio ujana umekomaa,

Mwanamke anayo dini, mwanamke mwenye msimamo ktk maisha yake atasimama kwenye imani yake pia,
Huo msemo wako ni wa kizamani sana.

Mume atapata kwa uwezo wa Mungu km ww huna sifa na vigezo kaa pembeni usimkatishe tamaa kiumbe wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…