Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

Kandele ni PM tuongee zaidi
 
Mie nipo serious lakini nahitaji mwenye mtoto mmoja, je wewe una mtoto
 

Unanyapu kavu au swimingpool ?
Dah!samahan km ntakuwa nimekukosea ndg...ila ingekuwa amri yng watu km ww nisengependa muwepo humu jf.. Kwn ww ni mpumbavu wa kwnza
 
U'positive unakutisha vp mkuu? It's just a name na kiukweli huwa sipanick in whatever situation, naamini ku'deal na issue zote kwa utulivu and mostly nipo na positive mind when comes to dealing wth any situation
Unamaanisha kwel
 
30yrs!;Wewe ushazeeka tayari.Uliibania mno;Halafu hiyo ya kubagua dini ndio kabisaaa ishakukosesha Mme coz mwanamke hana dini ni wa wote.
Vuta subira mungu atakupa mwenyevigezo unavyo taka kikubwa vuta subira na muombe mungu sana maana tumeambiwa innallah maaswabirina
 
Wewe ni muongo.

Haiwezekani miaka 30 uwe umegegedwa na mtu mmoja.
Sasa mbona hakupendi tena?
Ukae na mtu miaka kibao na hampendani? Utakuwa ulim cheat.

By the way.
Kama hujapata mtu mimi ni mwalimu wa madrasa . Inshalla njoo nikuoe mke wa tatu
 
Uko tayari kuwa mke wa pili? Maana hapo dini inaruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…