Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

Mkishagongaga over 30yrs ndio huwa mnastukaga kuwa mambo/hali sasa sio nzuri, wakati mkiwa wabichi wabichi mnavutia mnasukari yote mwilini huwa hamtaki kusikia habari za kuolewa, pia mnakuwa mnachagua wanaume kama mnachugua chuya kwenye mchele. Nakutakia kilalakheri.
 
Nichrc Nicheki 0658835317 age 24
 
Ndugu inaonekana huna ufahamu kwa nini dini ya Kiislam imeruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja nakushauri kabla hujachangia ishu za kiiman omba usaidiwe darasa kuliko kuropokaropoka kama mtoto/mtu aliyekosa utimamu wa akili,
 
ACHANA NAE MARA NYINGI HAO HUJIFANYA WANAJUA SANA LAKINI UKENDA KIUNDANI UNAKUTA BOX TUPU IMANI ZAO NI ZA KUKARIRI SI ZAKUTUMIA AKILI FORMULA YA MKE MMOJA MKE MMOJA IMEANZA KUPINGWA MPAKA MAKANISANI
 
Wewe ni muongo.

Haiwezekani miaka 30 uwe umegegedwa na mtu mmoja.
Sasa mbona hakupendi tena?
Ukae na mtu miaka kibao na hampendani? Utakuwa ulim cheat.

By the way.
Kama hujapata mtu mimi ni mwalimu wa madrasa . Inshalla njoo nikuoe mke wa tatu
MIMI mwalimu wa Sunday school nikuoe nikulishe nguruwe kama vipi ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…