Natafuta mume wa kunioa

Maximum 45 years na minimum je?
 
hiyo avater ni picha yako?
 

Vipi nafasi bado ipo au ushafanikiwa bibie???,,nataka nitume mshenga
 
Vita ya kumpata mwanaume WA kueleweka haijawahi muacha mtu salama endelea kupambana
 

Sema unatafuta Sponsor na si mume...Mume miaka 45!??
 
Nani kwakwambia jombii
Wachumba hupatikana chuo na shule, na kazini kidogo, huyu alijiona keeki
Mkuu kazini wanaishia kumegwa na kuzalishwa tu. Yupo dada mmoja alifika mahala akaamua kumuoa mbaba badala ya yy kuolewa. Maana aliishia kuwa na kazi mchumba hampati, kila aliyemuendea alikuwa anamega na kusepa.
 
Kwa tulio under 30 tunahusika?
 
ushakuaga na maboy wangapi? na kwann wao waliepa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…