Natafuta mume wa kunioa

Ni lini Dada zetu wataelewa kuwa mume huwa hatafutwi Bali mume hutafuta! Husubiriwa! Mke hutafutwa, hatafuti!
Vinginevyo ni ukakasi! Binti kuamua kutafuta ni ushahidi tosha kuwa hana kabisa uvumilivu! Misukosuko ya ndoa ikija ataamua kutafuta tena! Ndiyo! Kwa nini avumilie wakati uwezo wa kutafuta anao! Hii ndiyo sababu kubwa ya ndoa nyingi kuvunjika ndani ya miaka 10 ya mwanzo!
 
Una bikira? Au kifutio kimeisha ndio unakuja hapa
 
Umri wa kawaida tu Dada yangu,omba mungu.....,Bali kwa umri uliousema kwa mwanaume wengi wanakuwa tayari na watoto.
 
Dini gani wewe na unahitaji wa dini gani
 
Kama hauna mtoto basi mpenzi,ngoja niendelee kusubiri.
 
Ushampata au bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…