makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Inawezekana baba mtoto ndio akawa kivuruge, kiborodinda, mpigaji, ana gubu.. N.k au dada kaingia cha kike, mshikaji si muoaji ni mmegaji tu.Kama umetaja sifa zotee hizii ina maanisha na wewe unazo.
Sasa ilikuaje ukawa na sifa zote hizi na baba mtoto akasepa?
Hivi na yuko wapi?
#YNWA
Umeshasema ni dada, ulitaka aingie Cha kiume?!au dada kaingia cha kike,
Wengi huwa wabinafsi, Kama hapo anaposema uwapende ndugu zake Hilo tayari ni tatizo,Kama umetaja sifa zotee hizii ina maanisha na wewe unazo.
Sasa ilikuaje ukawa na sifa zote hizi na baba mtoto akasepa?
Hivi na yuko wapi?
#YNWA
Nitumie namba yako plzMimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.
Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia
Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Nakuombea sana.. Simama thabiti na hitaji lako wasamehe wapuuze watakoakubezaMimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.
Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia
Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Siruki ruki wala sitaftisuzie _barbie wee bado unarukaruka au na wewe unataka mtulizi akutulize?
Mtakuja kupotezwa kizembe kwa tamaa zenu. Mbona mnawaamini watu kirahisi?Namba yangu hiyo 0692507838
Kila la kheri mpenzi.
Acha watu tuoane. Tulia, tukikubaliana tutakualikaMtakuja kupotezwa kizembe kwa tamaa zenu. Mbona mnawaamini watu kirahisi?
Mbona kimya nitumie namba yako pmMimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.
Sifa
Asiwe mlevi Wala mvuta sigara
Wenye hofu ya Mungu
Wenye upendo heshima na apende ndugu zake na wangu
Mpambanaji mpenda maendeleo na ushirikiano
Akiwa na mtoto au watoto sawa Mimi ni mama napenda watoto, watoto ni Baraka.
Wenye kusamehe muelewa pia
Nikimpata naahidi kumpenda na kumuheshimu kiufupi ata enjoy tutajenga familia iliyobora
Mungu akujaaali huna mashart mazitoMimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta maisha na kujenga familia iliyo bora.