Natafuta mume wa kunioa

Kwa uandishi huu inaonekana wazi yaliyotokea yalikuwa nje ya uwezo wako wa kuyadhibiti na unajutia wakati.

Naamini atakuja mtakayeelewana na kujenga familia bora.
 
Inavyoonekana ulimsaliti baba mtoto ndiyo sababu ameshindwa kusamehe na ndiyo maana unataka mwanaume mwenye kusamehe.Ila nikupe tu angalizo kuwa kumpata mwanaume anayeweza kukusamehe kwa usaliti tena kabla ya ndoa ni nadra sana.
 
Dada naomba ufafanuzi hapo
[emoji116]
1. vipi kwenye suala la Dini?
2.Baba watoto wako yuko wapi?
3.Vipi sisi Jobless


Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Mungu akajibu haja ya moyo wako, akakupe yule akufaaye kwenye dhiki na raha.

Akawe faraja kwako, akakupende , akuheshimu na kukuthamini.

Ila kiukweli, sisi wanywaji tuna upendo Sana, hebu badilisha kidogo hiyo PGO yako
hahahhahahahah mzee wa PGO
 
Wengi huwa wabinafsi, Kama hapo anaposema uwapende ndugu zake Hilo tayari ni tatizo,
Kweli hapo kuwapenda ndugu kuna shida. Unaweza kuhamishiwa ukoo mzima kwako, ama ukabebeshwa mzigo wa ukoo
 
Mungu akajibu haja ya moyo wako, akakupe yule akufaaye kwenye dhiki na raha.

Akawe faraja kwako, akakupende , akuheshimu na kukuthamini.

Ila kiukweli, sisi wanywaji tuna upendo Sana, hebu badilisha kidogo hiyo PGO yako
N kweli wanywaji na wavuta sigara wanacare hatari, ex wangu alikuwa balaa ila ndo hvyo. Teh teh ngoja alengeze vigezo
 
Vp kuhusu kuonja kwanza mzigo?..
Kuolewa mke wa pili je? Je?
Weka hata ka shape kidogo
 
KANISANI AU MSKITINI HAZIPITI HTA SKU TATU UNAPATA MUME..
 
Mbona haujanicheki na nimekupa namba
 
Nipo hapa nakusubiri future wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…