Natafuta mume wa kunioa

Naomba ni pm mrembo tuonge,ikiwa kweli unaitaji kupendwa.
 
umeandika kikubwa sana.
Barikiwa na Mungu afungue milango ya baraka kwako
 
KWANINI UNASEMA MWENYE KUSAMEHE UNAPANGA KAMKOSEA MAKUSUDI. AU KUFANYA MAKOSA NI KAWAIDA YAKO.
 
Well said Ms
 
Kila la kheri dada.

Hizi negative comments achana nazo.

Watanzania wengi stress zao za maisha wanazitolea mitandaoni nyuma ya keyboard.

Kuwa na imani, furahia maisha yako.

Msalimie anko.....
 
Samahani, naomba kufahamu kuhusu baba wa huyo mtoto ulie nae. Yupo wapi? Mnawasiliana vipi? Anamuhudumia mwanae?
Hilo swali muulize In box, hata ningekua mimi nisingekujibu hapa.
 
Jiunge na ala za roho ya mojay
 
Oooh Ahsante mungu nimepata MKE SASA
Maana huja guide umri kama [mention]Kelsea [/mention] [emoji1374]
[emoji18][emoji18][emoji18]
 
Ukweli Dada umeonyesha nia ya kumpata mwenza.
 
Hiyo hatua uliyopo inaitwa stage 3 of woman life a.k.a Rose heart
Stage 1 huwa wanasema natafuta mwenye gari, pesa na nyumba, kazi na makampuni! Hapa huwa wanafuatwa na wengi wasio na vigezo vinavyohitajika! (17-27 yrs mostly)

Stage 2 huwa wanasema wanataka mwanaume anayemudu kugharamikia chakula na kodi (mtoto na 28-37 yrs mostly)

Stage 3 huwa wanataka kijitu tu ili mradi kina uume! Basi! (Waliopigika 38 yrs onward)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…