Natafuta mume wa kunioa

Watu wengi mnauliza Baba mtoto yupo wapi,

badala ya kumuuliza mtoa mada,

mwanaume aliyesababisha akaachwa na Baba mtoto wake yupo wapi kwa sasa?

Huyo ndy mdudu sumu wa kuogopa na sio Baba mtoto.
 
kila laheri
 
Watu wengi mnauliza Baba mtoto yupo wapi,

badala ya kumuuliza mtoa mada,

mwanaume aliyesababisha akaachwa na Baba mtoto wake yupo wapi kwa sasa?

Huyo ndy mdudu sumu wa kuogopa na sio Baba mtoto.
nakazia hapa
 
Kuhitaji mume ni jambo jema kabisa, ila namna unayotumia kumpata huyo mume ni UPUMBAVU...
Kama huna mtu wakukushauri kuhusu hilo I would like to volunteer...
 
Watu wengi mnauliza Baba mtoto yupo wapi,

badala ya kumuuliza mtoa mada,

mwanaume aliyesababisha akaachwa na Baba mtoto wake yupo wapi kwa sasa?

Huyo ndy mdudu sumu wa kuogopa na sio Baba mtoto.
Wachache watakuelewa hapa [emoji115]
 
Wengi huwa wabinafsi, Kama hapo anaposema uwapende ndugu zake Hilo tayari ni tatizo,
Ndio namshangaa hapo

Niwapende ndugu zako nina mkataba gani na ndugu zako ?

Wao watanipenda ?

Sema basi "ndugu zangu watakupenda na kukuheshimu na kuheshimu ndoa na hawataiingilia ndoa."

Niwapende ndugu zako, nawajua ndugu zako mitabia yao?
 
Anataka uanze kuwasomesha, kuwalisha, kuwanunulia nguo etc dooooh
 
Nipo tayari njoo tuyajenge
 
unaonekana kua mke bora kwa maelezo ya awali nisijue undani
 
awe na kazi au hata jobless nikupe jina saizi u mcheck IG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…