Natafuta Mume wa kunioa

Kutokana na takwimu ya sensa ni mwanamme mmoja kwa wanawake kumi! Hivyo bac uko tayari kuwa miongoni mwa hao kumi?
 

We kweli kiboko maana unamapembe na kuuelewa huelewi
 
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
Unaleta udini ktk maisha we ungeishia tu unatafuta mume itikadi ya nini? utawakosa hata walio tayari kuoa.
 
tehe tehe tehe tehe tehe wenye neno ni kina nani?
kuna jamaa yangu mmoja alishawahi kunambia, mwanamke wa kiislam ukinunua gunia la mchele ukaweka store, ukatengeneza sebule iwe nzuri, tv nzuri na king'amuzi safi na dvd player, nunua mikanda ya bongo muvie na taarab weka hapo, hata ukikutana naye leo kesho ukamwambia unamuoa na ameviona hivyo vitu, hawezi kukataa. hawanaga shida. kazi yake yeye ukirudi nyumbani toka kazini utamkuta amepicha chakura safiiii, ameoga chumba kinanukia marashi, amevaa kanga ya india hapo kazi ni moja tu. hana mawazo ya kujitegemea ili achangie kipato na ukishindwa matumizi hana shida kuachwa ili akaolewe kwa mwarabu mwenye navyo.
 

tatizo lako ni udini mkuu mtu mwenye akili timamu hawezi kukupa mawazo mgando kama hayo.unataka kuudanganya uma wawatu wenye akili kua waislam wote wanawake hawana maendeleo?au wanawake wote wakirsto wa maendeleo?au yule ambaye maisha yake niyachini yani maskini amependa kuwa hivyo?hujijui wewe hakuna mjanja wa maisha mazuri yote nimipango ya mungu.kila mtu anapenda maisha ya juu ila mungu ameyafanya haya tuwe tofauti ili azipime imani zetu.na wewe aliyenacho tambua kua mungu anaweza kukupa mtihani ukaforsika zaidi ya yule.maskini.
 
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
Mimi sio mwislam ila wanawake wa kiislam na waislam kwa ujumla nawapenda sana huyu dada anaamini sana katika dini, na ndo maana hajaweka criteria nyingi. Mengine watatafuta na mumewe, yeye anachihitaji ni mume tu. Kama sifa je access mwenyewe then mtafute. Kitu kingine cha tofauti huyu katoa jina na namba ya simu, inaonyesha yupo serious na sio mwongomwongo. Maana kwa umri wake wa miaka 30 si rahisi kuwa single. Ila kwa huyu hata akiniambia yupo naweza amini yupo sababu kajimaliza kabisa. Wengine utasikia njoo pm then pm mnapangiwa tarehe za kuonana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…