Natafuta mume wa kweli

Muumbe
 
Mimi sina sifa hizo, ila nina marafiki zangu wenye sifa hizo, ntakupa mmoja
 
Nadhani njia sahihi ni kuwa MTU ukitaka mchumba - weka vigezo vichache afu mtu akikupm ndiyo muulizane mengi - mkikubaliana P and vise versa
 
Kwa umri huo, Nani asiwe na mtoto na anasubiri nini kutokuwa na mtoto, wanawake bwana, chongeni wanaume mnao wataka! Kwa fundi selemala
 
Dunia ya leo mme wa kweli ni yupi? Mme ni kama seat ya daladala, ukiinuka tu mwingine anakaa.
 
Mungu na akupe haja ya moyo wako! Muombe sana Mungu, Ikibidi funga, omba toa na sadaka maalumu kwa ajili ya kupata mume sahihi!
 
1. Unataka mume.
2. Awe dini yako.
3. Awe na kazi.
4. Asiwe na mtoto.
5. Awe mweli.
6. Akuzidi kipato.
7.Asiwe mrefu sana.
8. Awe mkarimu kwa wote.
9. Awe na heshima
10. ASIWE NA MAMBO MENGI! (wakati wewe tayari ushataka awe na mambo mengi)
NA asiwe mlokole
 
Ukipata wa sifa hz niite mbwa nmekaa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…