Natafuta mume wa mtu

anajiita NOT ENOUGH, majina pia yana mpresent mtu natabia yale , be aware bodies!!!!!!!
 
huyu bidada kafulia anataka wakumboost ha ha hah! hupati kitu hapa kwanza maisha magumu tulio na ndoa zetu saiv tunasema TULIZANA
 
Acha umalaya, hujui kama kuna hiv? tafuta wa kwako mkapime ndo mngonoke
 
naomba nianze ukachero wangu..................

yaelekea wewe ni bingwa wa kutembea na waume za watu sasa hawa uliokuwa unatembea nao wakawa wanaongelea wake zao hapa umesha wamwaga??
https://www.jamiiforums.com/mahusia...50-kwa-wale-tunaotembea-na-waume-za-watu.html

cc snowhite
 
Last edited by a moderator:
Kama upo siriasi nitumie namba yako please pm me.Na hiyo avatar ni yako real?
 
weka picha yako..usijekuta ni yule niliyekumwaga nikarudia matapishi yangu bureee
 
Nenda mlimani city wako kibao wanalewa na mafrustration ya wake zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…