Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Mkuu vigezo vya nini wakati yeye shida yake ni "Mme"Weka vigezo
Matangazo mengi ya aina hiyo mkuu humu yana vigezo,mara kipato sasa siye tunaounga unga maisha lazima tujue kwanza tusije kuchambwa huko PMMkuu vigezo vya nini wakati yeye shida yake ni "Mme"
Wewe jitose tu mkuu yeye anataka "mme" au unataka uwekewe vigezo vigumu uanze kumkejeli?Matangazo mengi ya aina hiyo mkuu humu yana vigezo,mara kipato sasa siye tunaounga unga maisha lazima tujue kwanza tusije kuchambwa huko PM
Wewe jitose tu mkuu yeye anataka "mme" au unataka uwekewe vigezo vigumu uanze kumkejeli?
Tena fanya harakaNgoja nijisajiri Mkuu