Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Joined
May 4, 2017
Posts
57
Reaction score
63
Habari zenu,

Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa mume.

Sifa zake;
Muislam mwenye hofu ya Mungu
Miaka 28-35
Elimu degree (yoyote) au mwenye future na maisha yake(mfanya biashara)au Mkulima,nau shughuli yoyote ya halali.
Mwenye utayari wa kuoa.
Maji ya kunde au Mweupe kidoogo.
Mrefu kiasi.
Ukiwa na mtoto sawa pia.

Sifa zangu;
Muislam nina hofu ya Mungu.
Umri 24.
Elimu diploma.
Maji ya kunde.
Mfupi kiasi asili ya unene.
sina mtoto.


Samahani kwa niliye mkwaza ila mwenye nia na anahisi anafaa ani PM tunawasiliana.

Ahsanteni.
 
Jbu pm
 
Vipi kama ana mke na anataka mke wa Pili?
 
ushanipata
 

Kila la kheri dada
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…