Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Nna sifa zote, ila bahati mbaya mie Maji ya Mbaazi
 

.. yaa maashara shabbaab manistatwaa minkumulbaab falyatazawwaj ... fanya subra mashababi waje utampata tu In Sha Allah .. japokua mm pia ni shabaab sema bado sijakua tayari kuoa ..
 
Allah akutilie wepec
 
" mfupi kiasi mwenye asili ya unene" najaribu kukutengenezea mental image , anyway kila la kheri.... !!! ila 24 unatafuta mume soc media? !! umri bado unaruhusu tulia utampata wa kukufaa!!
 
DADA UPO SERIOUS KWELI UNATAFUTA MUME?

UNAFIKIRI JF NI SEHEMU SAHIHI YA KUTAFUTA MUME?

TENA NI BINTI MDOGO KABISA MASHAALLAH.

USHAURI WANGU AMKA USIKU USWALI RAKAA MBILI,MLILIE MOLA WAKO MLEZI AKUPE MUME MWEMA,NAIMANI ALLAH ATAKUFUNGULIA UTAPATA MUME MWENYE HOFU NA ALLAH INSHAALLAH,KWANI YEYE NI MPOLE, MSIKIVU NA YUPO KARIBU MNO NA WAJA WAKE PINDI WANAPOMUOMBA, NAKUUSIA TENA JARIBU KUWA NA SUBRA KATIKA KIPINDI CHOTE CHA KUMTAFUTA MWENZA......UKIWA NA PAPARA KATIKA JAMBO HILO LA KHERI UTAKUJA IJUTIA HATA NDOA YENYEWE.
 
Nimekupenda bure ili mm mkatoliki but sifa zote ninazo
 
Acha kumtisha ina mana akisha soma hiyo rakaa akae ndani mume atamfata?
Wewe ustadhi Juma vipi!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…