brown_lady
Member
- Sep 29, 2017
- 6
- 14
HongeraHabari,
Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume.
-Nina miaka 28
-Nina mtoto mmoja
-elimu degree moja(IT)
-muajiriwa
Aliye tayari ani pm.
nahuku upo tu mwanangu au una kalibisha wagenikila la heri bibie...ngoja waje
niponahuku upo tu mwanangu au una kalibisha wageni
basi sawanipo
Wengi mnauliza dini,Mimi ni mkristo.Habari,
Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume.
-Nina miaka 28
-Nina mtoto mmoja
-elimu degree moja(IT)
-muajiriwa
Aliye tayari ani pm.
Si kweli,ndiyo ni new member.In mwanamkeNew member eti anatafuta mume. We mwanaume unayefungua akaunti feki ukijifanya mwanamke, bwana unayemtafuta hatimaye utampata na urudi kutoa mrejesho hapa
Uliza nitakujibutaarifa hazijitoshelezi!!