Natafuta mume

waajiriwa wenye degree mpaka madomo zege weshawahiwa siku hizi....punguza masharti au we bado bikra?
 
Ha ha ha yaani mkizalishwa tu na akili zina kaa sawa. Kabla..ni full bata tu.

Huenda hiki kizazi cha JPM na mtoto....mmmmh
 
Kila la kheri. Umekuwa muwazi mno, hongera!
 
Aliyekuzalisha kwanini hakukuoa?tuanzie hapo
 
Habari,
Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume.

-Nina miaka 28
-Nina mtoto mmoja
-elimu degree moja(IT)
-muajiriwa

Aliye tayari ani pm.
Yaani kujiunga tu jf unatafuta MUME. Unatafuta MUME Au gay mwenzio
 
Kwanza unafahamika. Huna uwezo wa kupata mimba. Ulishaharibiwa sababu ya umalaya wako. Nani apoteze manii zake kwa kukupiga paipu tu, hakuna mtoto?!?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…