Natafuta mume

Wanawake wanaotafuta waume hapa asilimia kubwa wazugaji hawako serious siji kumfuata mwanamke pm, naapa haitatokea katu
 
Habari,
Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume.

-Nina miaka 28
-Nina mtoto mmoja
-elimu degree moja(IT)
-muajiriwa

Aliye tayari ani pm.
Umepata mume au uume?
 
Mungu akujalie haja ya moyo wako
 
Mnatafuta namba za member wa jf ili mkawakamate.Jf tunajitambua kweli hamtupati kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…