Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Njoo pm..tuongee kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
sasa kuna mwanaume ambae hapendi kupiga mzigo atakuwa juma lokole labda
 
Utampata dada...amini hivyo....uwe na subura na makini mno....ila usiwe na maringo......himili hisia zako....God bless u..
 
sasa mbona pm yako umefunga?? au ushapata??
 
Dionize what i meant was usinipige matukio kama Diamond Platnumz nikaondoka mwenyewe.
Mie nakuhitaji ila utanisamehe kwenye kipengere cha kukulea kama yai maana utajikuta hata majukumu yako hufanyi
 
mstari wa nne kutoka mwanzo ndio unakutoa kwenye mstari, mtu wa kaliba yako hatakiwi kutaja wasifu wa mtu anayemhitaji kwakuwa ulishakosea hapo mwanzo,saivi unampokea yeyote anayejitokeza tu
 
Kumbe nilisahau hilo.
mstari wa nne kutoka mwanzo ndio unakutoa kwenye mstari, mtu wa kaliba yako hatakiwi kutaja wasifu wa mtu anayemhitaji kwakuwa ulishakosea hapo mwanzo,saivi unampokea yeyote anayejitokeza tu
 
Guys.
Ahsanteni ninaomba tufunge huu mjadala.
Nimepata mtu tunaangaliana tunasomana tukifika panapotakiwa nitawaambia tusipofika nitarudi tena humu kutafuta.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…