Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Habari ngonyango.
Hongera sana kwa kupata bikra hata mie nilikuwa bikra.
Lakini kwa mtu kama mie single maza niliyetelekezwa na mimba nikiwa penniless kabisa nimepoteza dira ya maisha maneno hayo uliyoniambia si mageni.
Nimeshakutana na maneno ya dharau, humiliation kibao na nikasonga mbele.
Hii ya kwako ni marudio tu na haina madhara.
Hongera sana lakini.
unanitafutia wa nini? we kama vipi chukua hiyo screpa....mi nshapata bikira nikaoa
 
wanaume wa humu wana haraka sana hatufahamiani ila anataka tukionana tufanye mapenzi.
Duh hii kali hata sungura au kuku hawafanyi hivyo .
Sikuona tangazo la kwanza lakini imani yangu kubwa kila kitu kinaanza na friendship, then mna build on mpk level hiyo ya juu kama it's meant to be.
Na ni process...sio kuchat siku 2 ya tatu kukutana. Inaweza tokea lkn ni rare cases.
Sijui kama bado unatafuta, mengine labda tuongee chemba if interested lakini sipo that desperate. Nakuhakikishia respect, jokes na hata kama sera zitapishana bado tunaweza kuwa unachat.. na kubadilishana mbinu za kuwinda...๐Ÿ˜œ
 
Ahsante lakini nimeshapata mwenzangu. Nawewe nakuombea upate.
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Ila wanawake hapo mnaposema wanataka ngono ndipo mnapo jichanganya,
Yaani unakuta umeshatumika vya kutosha alafu mwingine unamwambia mpaka ndoa,
Sifikiri kama Kuna fala wa hivyo labda uwe bikra!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ