Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
We jifanye mjanja siku upate mtu hapa akutolee povu utajuta kuchafua uzi.
Hakuna cha ujanja humu, na ukizungumzia povu naona kama umechelewa sana.... Maana kama ni kusemwa na kuandikwa humu Jf, bilashaka nilisha andikwa sana.
Na kwataarifa yako, hata picha zangu zilisha sambazwa sana humu ndani aiseeeee.......
Lakini, tabia ni tabia tu mkuu. Mihata nini kitokee na povu limwagike kiasigani, hivi ndivyo nilivyo.....
 
Niko hapa nipende kama nilivyo msela usiniache mambo ya cv mwisho utapenda mengine yasiyo na ulazima
 
Baba wa mtoto anaishi wapi kwa sasa na mala ya mwisho kuja kumjulia khali mtoto ni lini?
 
Hamtaki tena kuwa single mazas? Maana wakikutana kwenye vikao vyao wanasema wanaume ni pasua vichwa tu bora kuwa singo. Ila kila siku hao hao singo mazas wanatuharibia wadogo zetu kuwafanya vibenten vyao. Unamuona anafanya bizness anakomaa anataka apate na hela ili aitumie kumpa dogo ya [emoji336] smartphone ili aendelee kumkojoza na kumuingilia kwenye kuna chumvi nyingi
 

Mimi kwa kweli sijapenda huo uhandishi wako. Hivi ni kweli elimu yako ni ya chuo kikuu?
 
Wadau msimshambulie dada wa watu, kwenye familia/ukoo wenu wapo. Tena wengine humu wametelekeza damu zao alafu wanawaponda single mother. Single mother wanajali sana kama hamjui

Acha uongo aisee, kuoa single maza ni kujitafutia matatizo mkuu, wewe umekosa nin kwa Mungu mpaka uoe single maza? Ina maana watoto wabichi wameisha? Single maza apambane na hali yake au atafute single faza(tena yule ako na watoto zaidi ya wawili) basiiii
 
naona nimekosea kuja humu nlijua nitapata faraja ila nashambuliwa sikupenda wala sikutaka kuwa hivo

naona nimekosea kuja humu nlijua nitapata faraja ila nashambuliwa sikupenda wala sikutaka kuwa hivo

No
Issue ni masharti uliyoweka
Home comes unaandika [ Awe tayari kupima ukimwi.
Nahitaji mwanaume aliekuwa serious muda wa kupotezeana sina asiwe na mahusiano yoyote anipende sana na kunilea kama yai]

Kweli ! Hiyo inadhihirisha kuwa utakuwa na....... Watu tumeogopa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…