Newesty ID
Member
- Aug 17, 2018
- 17
- 55
Utakufa bila kelele kama walivyokufa wafuasi wa Joseph KibwetereNichek watsup 0625588153.
Tunaanzie pm bossNichek watsup 0625588153.
Una miaka 39 au 42???Nichek watsup 0625588153.
Sawa boy ,pita tuNimekosa sifa moja tu ya umri nina miaka 24
Namtakufa bila kelele...kama walivyokufa wafuasi wa kibwetereUtakufa kizembe kama walivyokufa wafuasi wa Joseph Kibwetere
Hii ni JF
Hahha acha kuwaogopesha wenZio jamesNamtakufa bila kelele...kama walivyokufa wafuasi wa kibwetere
-Nigger Jay, Profesa Jay, Mti Mkavu, Shupavu, Bill Getty Mzee wa Kuku etc
Amna nomaSawa boy ,pita tu
Ni PMHabari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye upendo wa kweli.
Note:Usiwe umeacha mke au umezalisha mtu .
Sitaki kuumiza mwanamke mwenzangu kama vile ambavyo na mimi sipendi kuumizwa.
Mimi
Age yangu:25-28
Elimu:Chuo
Kazi:ninayo
Dini:miristo