hbar... ntumie no zako tuongee plzHabari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye upendo wa kweli.
Note:Usiwe umeacha mke au umezalisha mtu .
Sitaki kuumiza mwanamke mwenzangu kama vile ambavyo na mimi sipendi kuumizwa.
Mimi
Age yangu:25-28
Elimu:Chuo
Kazi:ninayo
Dini:miristo
Bila shaka..! Ndiyo maana nikauliza tukutane makutano junction [emoji183][emoji183][emoji183] in hand..[emoji125][emoji125][emoji125] [emoji177]natangulia.
Huwa tunasema umri si kitu ni tarakimu tu!!! Hata bibi kama yuko single anaweza kuolewa tu haina shida!!Mm ni kibibi gagula, unaoa wazee?
Na aliye toa post bila shaka atakuwa mwanaume
Wee chilumendo nguli nimpiya ungakwawa vyonsi impiya isyakala nkantu.miye ninavigezo vyote ila tatizo langu nakoroma sana vipi utanivumilia?
nandi ulupweka pachitala?Wee chilumendo nguli nimpiya ungakwawa vyonsi impiya isyakala nkantu.
Huwa tunasema umri si kitu ni tarakimu tu!!! Hata bibi kama yuko single anaweza kuolewa tu haina shida!!