Natafuta mume

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
541
Reaction score
461
Habari wana jamvi, mimi natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri kuanzia miaka 31 - 40
Color : Any
Tribe : Any
Education : Degree na kuendelea
Religion : Christian
Kabila : Asiwe mchaga au wa pwani
Kazi : Awe mfanya kazi au amejiajiri
Awe na heshima

Kuhusu mimi
Age : 27
Education: Degree
Color : Chocolate
Kazi : Employed
Vingine tutaulizana..aliyetayari aje PM tuongee...kama unaishi Dodoma itakua added advantage as nategemea kuhamia huko soon
 

Sisi tunaoishi Kigoma hatuna nafasi kbs?!
 
Ok watakuja pm ila me nilikuwa nauliza tu kama ulijifungua salama
 
Tatizo kabila tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…