Natafuta mume

Unajua akili ya mbongo ndio akili huwezi ikuta mahali popote hapa Duniani

Kwa ufupi mbongo ni binadamu wa ovyo asoeleweka na asojua zuri wala baya.


Unajua, Watu km mtoa Mada, Huwa wanaitaji Uungwaji mkono wa kiwango cha juu sana, maana ukiachana tu nahali yake, bado ukiyatizama maisha yake kuelekea upana wake, utagundua ni mtu anayehitaj Upendo .

Sasa wapuuzi wenye akili tope. WanachojuA HIV unaipata sababu ya Ngono tu.

Na huu huu Upuuzi wao, unawasahaulisha kua , "Humuhumu ndani ameshakanyaga mademu kibao na ambao hajui hata afya zao" .

Sasa nini maana?????.

Nkaja gundua, watu wengi wanaojinyonga, au kujidhuru sio kwamba wanapenda, isipokua Amekoswa hata mtu mmoja wakumpa moyo ,nguvu kiasi kwamba anaona Duniani ni amekuja kwa bahat mbaya.


EMBU JARIBUNI KUA SEHEMU YA FAIDA KWA MWANADAMU MWENZAKO.
 
Dunia inaanza kufunguka, itafika muda kuwa na vvu itakuwa si kitendo cha aibu na unyanyapaa utaisha kabisa.

Inaanza na sisi, tuache kauli za dhihaka kwa watu wa namna hii, we never know what the future holds for us.
 
Nimeuliza kama anatumia vidinge

Sent using Jamii Forums mobile app
Aya maswali kama haya ,kwa kuzingatia usiri wa mtu nakuheshimu maisha yake.

Kwann usimfate Inbox???

Huoni kama nayeye hatokua huru kujieleza sana sababu atahisi mnamchora???


Embu badilikeni aiseeee !!!! Hiyo sio tafasiri sahihi ya maisha.
 
Sasa hiyo bachela yako itasaidia nni au hiyo vvu yako..watu wanataka chini huko je kuna lipa? Una wowo? Una chura? Kama huna we nenda tu na bachela yako
 
Nice msg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua hapa @Vladmilovic putin ndio mwenye huu uzi
Cjui analengo gani kuja na ID mpya

Sichenji buku kwa njaa ya siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…