Dorothea Ngonyany
Member
- Feb 11, 2019
- 5
- 16
Wakija watauliza kama ana chura..Ngoja waje dada!!
Kama Una Ndoto Za Kuwa Tajr Badilisha Scenario Ya Kabila, Andika Awe Mchagga!SIFA
AWE MKRISTO DHEHEBU LOLOTE ISIPOKUWA MSABATO NA SOLOAMU
MIAKA 30-35
AWE MCHA MUNGU
ASIWE,MCHAGA
AMBAYE YUKO TAYARI ANI PM
[emoji120]
Atakuwa mhanga wa kauli ya makondaWachagga kwa pamoja tunasemaa aiseeeee
Kabisaa...kanikosa hivi hiviAtakuwa mhanga wa kauli ya makonda
Hili tangazo ni la kweli?ila sishangai na mvua hizi wanaume tunadili kwa kweli na magu anachangiaSIFA
AWE MKRISTO DHEHEBU LOLOTE ISIPOKUWA MSABATO NA SOLOAMU
MIAKA 30-35
AWE MCHA MUNGU
ASIWE,MCHAGA
AMBAYE YUKO TAYARI ANI PM
[emoji120]
Hii inaitwa thread ndani ya thread,Nawe Uwe
1. Bikra
2. Uwe Muislam
3. Usiwe mtu wa Chato.
4. Uwe na miaka kati ya 18-23
Kama unasifa hizo njoo Pm.
SIFA
AWE MKRISTO DHEHEBU LOLOTE ISIPOKUWA MSABATO NA SOLOAMU
MIAKA 30-35
AWE MCHA MUNGU
ASIWE,MCHAGA
AMBAYE YUKO TAYARI ANI PM
[emoji120]
Kigezo cha dini kimeniangusha sana na umri pia(japo umri it's just a number), usabato mzigo wa miiba unaonielemia mimi.. ivi sisi wasabato tuna nini lkn? mbona tunatengwa sana![emoji849][emoji849]