Natafuta mume

Sina sifa hata moja hapo.

Ngoja nikae pembeni.
 
Kigezo cha dini kimeniangusha sana na umri pia(japo umri it's just a number), usabato mzigo wa miiba unaonielemia mimi.. ivi sisi wasabato tuna nini lkn? mbona tunatengwa sana![emoji849][emoji849]
Yeye ni mngoni, unajua Kitimoto ni kama uji na mgonjwa. Sasa wewe msabato uje umletee story za WALAWI 11 cjui nini atakuelewa?
 
Kigezo cha dini kimeniangusha sana na umri pia(japo umri it's just a number), usabato mzigo wa miiba unaonielemia mimi.. ivi sisi wasabato tuna nini lkn? mbona tunatengwa sana![emoji849][emoji849]
Nami huwa najiuliza wasabato tuna nini
 
SIFA
AWE MKRISTO DHEHEBU LOLOTE ISIPOKUWA MSABATO NA SOLOAMU
MIAKA 30-35
AWE MCHA MUNGU
ASIWE,MCHAGA
AMBAYE YUKO TAYARI ANI PM
πŸ™

Ina maana Wasabato na Soloamu sio wacha Mungu.

Mungu anakuona na hii dhambi ya ubaguzi itakutafuna na naomba ikutafune hapa hapa duniani
 
Mtoto hataki watu wabaili ... wasabato mnawalisha watu ugali na karanga asubuhi mnawaambia ni afyaa, nani asiyetaka vya kukaangwa ? Wachagga wanakuachie f10 kwa siku hapo unatakiwa ulishe familia ulipe kodi na ada za watoto yaani ukiuliza utasikia io f10 kwa siku ulishindwa kufungua hata kabiashara kadogoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…