Ningekuunganisha na kaka yangu ila tatizo lako una hasira, huwezi kujishusha na yule bro ana hasira pia. Naona kuna siku mtu atapasuliwa magego na mwenzake.Yeyote
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ningekuunganisha na kaka yangu ila tatizo lako una hasira, huwezi kujishusha na yule bro ana hasira pia. Naona kuna siku mtu atapasuliwa magego na mwenzake.
Wanaume wanaojijua wao ni wanaume wameshaelewa boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungekuwa bora kwenye upande huo ningekupa mawasiliano yake, ila hivyo vihasira vyako vinanipa wasiwasi.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Okay ngoja niedit
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Natafuta mke
Sifa zangu
Ni mchamungu,
Rangi yangu n i mweusi
Sina kitambi,
Ninajitambua kuwa mimi ni mwanaume na najua kuutumia vizuri uanaume wangu,
Sifa za mke nimtakae
Mweusi,
Mwembamba,
Asiye na matako makubwa,
Elimu la saba,
Asiye na mtoto.
Huu uzi nadhani ufungwe lengo la mleta mada nishalitimiza.
Tatizo ana michepuko mingi[emoji29][emoji29]Unatafuta mume[emoji849]kwamba uncle wangu ushamuacha au tatizo vigezo!!
troublemaker ulikwama wapi uncle [emoji848]
Jamani anaetafuta mume ni mwanamke....Jina lako nimeshindwa kutambua jinsia yako...
Na jinsia yako pia muhimu sana ukituandikia... sio mtu akukuja private chamber anasota mwishoni siku ya kudate anakutana na jinsia inayofanana naye... nduki sana itafuata
Jamani mie sina hasira