Nakuja mpenziKama mpaka sasa hujapata njoo Pm
zeshchriss
Amesema hataki wanasisiemuLooh sala zangu zimejibiwa. Welcome Prime Minister!
Siamini Kama huu uzi umeandika kwa kudhamiriaOoh mamy huamini nini tena
Oooh, afadhari nilidhani hawajaona tangazo labda, usitusahau na Thad sasa[emoji3]Acha tu nilikuwa nawachuja hapa hapa kwanza
Oyooo, nendeni Kwa mleta Uzi sasa akitoshoka ndyo atatupasia na sisi[emoji3] [emoji3]Tupo
Hivi we ushapata mume,nije kukuchumbia? Uje tuishi huku poriniSiamini Kama huu uzi umeandika kwa kudhamiria
SijapataHivi we ushapata mume,nije kukuchumbia? Uje tuishi huku porini
Oooh sawa, ndio tatizo lenu hilo hamtutaki Sie waporini kisa vumbiSijapata
Tatizo kuishi porini siwezi
[emoji23][emoji23][emoji23] hamia mjini ..tutaishi woteOooh sawa, ndio tatizo lenu hilo hamtutaki Sie waporini kisa vumbi
Inamaana mimi hunitaki tena? Ndo kusema ulinichezea tu?🤔🤦🏻♀️😭Hivi we ushapata mume,nije kukuchumbia? Uje tuishi huku porini
[emoji44][emoji44]Inamaana mimi hunitaki tena? Ndo kusema ulinichezea tu?[emoji848][emoji2358][emoji24]
Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana