Natafuta mume

Mimi elimu yangu postgraduate diploma, ila Nina kitambi
Vipi utanikubali?
 
Naona mnanyapia nyapu ijitangazayo [emoji41]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Hivi una nini lakini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio uzi wa kwanza wa kutafuta mume uliofika one-page yote haya. How lucky I am?? Wamekataliwa wooote nimekubaliwa mimi.

Tafadhali waambie mods uzi ufungwe ushanipata mimi
 
Maelezo bado hayajakamilika:
Suala la Kipato kipindi hiki ni la msingi Sana ata kwetu sisi wanaume. Fafanua unafanya kazi gani? Tuone Kama kunamtelemko ( Kitonga ), uenda Kuna fursa hapa tuichangamkie.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo bado hayajakamilika:
Suala la Kipato kipindi hiki ni la msingi Sana ata kwetu sisi wanaume. Fafanua unafanya kazi gani? Tuone Kama kunamtelemko ( Kitonga ), uenda Kuna fursa hapa tuichangamkie.


Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati nzuri mimi sio suger mamy.... Mwanaume asiyetambua majukumu yake simtaki.... Unaweza kwenda sababu hili tangazo hawajawekewa marioo ( Wapenda vitonga).... Happy new year

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…