Natafuta mume

Bahati nzuri mimi sio suger mamy.... Mwanaume asiyetambua majukumu yake simtaki.... Unaweza kwenda sababu hili tangazo hawajawekewa marioo ( Wapenda vitonga).... Happy new year

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako sikuhz wanagharamia ndoa zao, wanalipa Maali na gharama zote wanasimamia wao, maisha kusaidia ukiwanacho toa usipende kupewa tu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah anapenda kuteremka huyu ntaolewa nae, yaani tutakaa ndani halafu Kuna mtu atakuwa ametuoa wote wawili mimi na yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mjomba wangu alikuwa na mahusiana na mwanamke mmoja, Walikuwa wanapendana sana, mapenzi yao walianza toka wakiwa chuo, ikatokea mwanamke akapata Kazi nzuri baada ya kumaliza chuo, mwanamke akawa Yuko Vizuri kipesa, jamaa bado hakuwa na Kazi ya maana kipato chake kidogo. Mwanamke akamuwezesha jamaa, akaanzisha Biashara Kisha wakafunga ndoa Hadi Sasa wanawatoto wawili na maisha yanaendelea. Kwaiyo nowdays Wanawake mnabidi mbadili fikra zenu kwamba nyinyi ni watu wa kupewa tu, mfumo wa maisha umebadilika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfumo umebadilika sio? Mbona hambebi mimba mzae? Siku mkizaa tu tutaamini Mfumo umebadilika otherwise nature na iheshimiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzako sikuhz wanagharamia ndoa zao, wanalipa Maali na gharama zote wanasimamia wao, maisha kusaidia ukiwanacho toa usipende kupewa tu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahahahaha hahahaha just hahahahhhahahahhahahahahhahahahahah bahati nzuri tuna vitabu vya dini ambavyo ndio miongozo yetu katika maisha ya hapa duniani, na havijawahi kufanyiwa mabadiliko ya maandiko yako vilevile.... So usinilazimishe kuamini kinacholetwa na matakwa ya mwanadamu .......

Baada ya hayo mimi sihitaji mtu ambae hana imani ya kiroho...... Lingine hili andiko niliweka kwajili ya kufurahisha jukwaa, tu na wala haikuwa na lengo la kutafuta mume,...... Uwe na usiku mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy NewYear 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo mimba mnajibebesha wenyewe ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke kuzaa bila kuingiliwa na mwanaume inawezekana, rejea Maria mama wa yesu.......


Sasa nyinyi siku mkibeba ujauzito, mkaenda leba, mkasukuma mtoto na machungu Yale, basi tutajua kweli mfumo wa maisha ambao binadamu amewekewa umebadilika, na sasa wanawake tutafute kwa jasho na wanaume mzae kwa uchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mfumo wa maisha mbona haubadiliki na kwenye kazi za ndani eti?? Mbona hadi leo kazi za ndani zinaonekana ni za kike tu??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…