Natafuta mume

Mkuu kwahiyo na wewe utakuwa unamsaidia mkeo kazi za ndani kama kupika kufua kuosha vyombo na kusafisha nyumba si eti

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mwanamke anajilipia mahari, anajioa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huko ndani nikianza kuleta amri achukie au?? Yaani nijioe mwenyewe halafu nimheshimu juuu... Big no........ Mimi nikijioa, tendo nakupangia, utadeki, utapika, utaosha vyombo, utafua nepi za watoto, utaniandalia Maji ya kuoga "nataka ya moto" yaani ni utafanya kazi mpaka ujute kwanini ulipenda kitonga na kuikataa asili yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sitaki kuwa watatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia nikwambie,niko serious ujue haya mengine tutayaogea private,embu nitext PM mara moja kwanini uhangaike wakati mimi nipo.

Ni PM,hata kama nisipokuwa mimi kuna faida nataka nikupe.
 
Sikia nikwambie,niko serious ujue haya mengine tutayaogea private,embu nitext PM mara moja kwanini uhangaike wakati mimi nipo.

Ni PM,hata kama nisipokuwa mimi kuna faida nataka nikupe.
Sitaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna waliopata waume na wake na mahusiano yao yakadumu?
Kwani huko tunakoishi hakuna watu hadi tuje kubet humu? Nauliza tu nataka kufahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoo yaani atafanya hizo kazi zote na akitaka kuchepuka achepuke njia nyeupe kabisa maana hawa hata uwape nini kizuri au uwafanyie nini kizuri bado watachepuka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zesh, Mwanaume akitoa tangazo kama hivi ni sawa, ila mwanamke, daaah huwa inakuwa majanga sana maana kama umeshindwa kupata mwenza huko nje it means hauna vigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samcezar, Siku zote nasemaga kama unashabikia ccm na akili zako lazima ziwe za kizombizombi, ungepitia uzi wote huu comment kwa comment hili povu lisingekutoka, ila kwakuwa umedandia gari kwa mbele wacha nikuone mpuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…