Natafuta mume



WEKA MAWASILIANO YAKO YA E-mail
 
 
Njoo pm
 
ni pm ww mimi inagoma
 
Mm nina kitambi sasa
 
🤣🤣🤣🤸‍♂️🤸‍♂️😁Yaani vyote matako na Elimu umekosa sasa nini kitakubeba???

Anyway...... natania tuuu...

Siku hizi sijui nini kimewakumba wanaume. Mwanaume mwenye makalio makubwa ana soko kuuuubwa kushinda mwenye Phd. Hata yeye mwanamke mwenye mimatako ana ujasiri sana mbele ya mwanaume.

Lakini mke mwema haijalishi ana elimu gani au matako makubwa bali ni HEKIMA. Ikiwa unayo hiyo, utapata mume fasta. Naamini hii sifa unayo
 
Hii fursa ilinipita je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…