Huwa inafikia mahali mwanamke kama hujaolewa wenzako wote wana waume na nyumba mnazokaa ni kotaz au NH sasa kila ukicheka na mme wa mtu mkewe ana nuna anazani utabeba mme wake ,ni shidaa,nilikutana na dada mmoja ni mwalimu na ana watoto wawili tayali alikuwa anasumbuka sana na kutaka kuolewa.
Aliniambia yani anatamani na yeye awe anafua tu angalau nguo za kiume ana anika kama wenzie ili angalau heshima iwepo ,mana wenzake wote wameolewa na kazi yao ni moja,huruma sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app