Vigezo vipi Tena?Ndo maana umebaki peke yako muda wote huu. Mwanamke hachagui ila huchaguliwa. Acha vigezo na masharti uone ka utamaliza mwezi hujaolewa.
Halafu vigezo vya maana hukuweka. Mfano; Dini, Afya, Mkoa, rangi
This is one side judgement!ndio wale wakiwa bado mabinti wanatabia ya kuchagua wanaume mwisho wa siku matokeo yake ndio haya
nakutakia kila la heri
Asante kwa ushauri Ila sihitaji Serengeti boyTafuta serengeti boys umri huo kupata ambae hajaoa ni kazi sana
Kila la kheri bibie, ningekuwa sijaoa ningekutafuta..una elimu halafu una busara, achana na hawa wapuuzi wanao kudhihaki
Kwa alichonifanyia mzazi mwenzangu sitaki hata kuoa
Masharti yapi?Ukimchunguza sana Bata kwa uchafu alio nao hauwezi kutamani hata kumla , japo nyama yake ni tamu hakuna mfano.
Unataka Mume Unatoa Masharti kama yote Bado haujawa Serious.
Si hivyo ulivyoweka sijui umri nk