Natafuta mume

Natafuta mume

Lilian85

Member
Joined
Nov 15, 2021
Posts
22
Reaction score
13
Habari zenu JF users,

Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.

Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.

Mwenye uhitaji karibu inbox
 
Jieleze zzaidi muonekano wako rangi ,shepu, mrefu mfupi n.k
 
Wewe unajitambua? una hofu ya Mungu? una watoto wangapi?

Unamaanisha nini unaposema anatambua nafasi yake ilhali bado yuko nje yako.....kutambua nafasi is relative. inategemeana na patner yukoje
 
Kila la kheri ktk utafutaji. Lakini Jaribu upunguze masharti yasio ambilika...
 
H
Habari zenu JF users,

Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.

Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.

Mwenye uhitaji karibu inbox
Hofu ya Mungu ndo nini? We ungekuwa na hofu ya Mungu si ungeshapata wa kukuoa? Maana kutoolewa ujuwe ni ujeuri na Mungu hapendi mambo hayo.. ✋✋
 
Interested,je una watoto Wangapio?je waweza kuishi Kenya?Ungekubali kupimwa mwili?, karibu sana
 
H

Hofu ya Mungu ndo nini? We ungekuwa na hofu ya Mungu si ungeshapata wa kukuoa? Maana kutoolewa ujuwe ni ujeuri na Mungu hapendi mambo hayo.. [emoji113][emoji113]
Sio lazima u comment aisee.
 
Back
Top Bottom