Kwasababu ana miaka 33 ndo asiwe na vigezo?Miaka 33 na masharti hayo yote juu, wakati kuna walio malza vyuo miaka 23 hadi 25 hawana masharti yoyote
Watu tuna stress tunahisi kua bullies kutatupa ahueni kumbe tunaonekana vinabo tu.Kwasababu ana miaka 33 ndo asiwe na vigezo?
Kama unaona haukizi vigezo vyake pita pembeni
Tujitahidi tu kua positive, Maisha sio rahisi kwa kila mtu.Watu tuna stress tunahisi kua bullies kutatupa ahueni kumbe tunaonekana vinabo tu.
Imagine mtu anamkasirikia mtu kisa kataja mapendekezo yake. Kashapoint anachotaka anatokea mtu kushangaa kwanini kasema anachokitaka.Tujitahidi tu kua positive, Maisha sio rahisi kwa kila mtu.
Na kwa jua ili stress hazitaisha.
Hofu ya Mungu ndo nini? We ungekuwa na hofu ya Mungu si ungeshapata wa kukuoa? Maana kutoolewa ujuwe ni ujeuri na Mungu hapendi mambo hayo.. ✋✋Habari zenu JF users,
Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.
Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.
Mwenye uhitaji karibu inbox
Sio lazima u comment aisee.H
Hofu ya Mungu ndo nini? We ungekuwa na hofu ya Mungu si ungeshapata wa kukuoa? Maana kutoolewa ujuwe ni ujeuri na Mungu hapendi mambo hayo.. [emoji113][emoji113]