elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,464
kabisa, kwao ni ajira iliyochangamkaKwa wanawake ndoa ni achievement
Kwanini usikae kimya kuficha upumbavu wako?Miaka yote ulikuwa wapi??
Jf ina wapumbavu wengi sana kama wewe?Miaka 33 na masharti hayo yote juu, wakati kuna walio malza vyuo miaka 23 hadi 25 hawana masharti yoyote
[emoji3516]Habari zenu JF users,
Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.
Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.
Mwenye uhitaji karibu inbox
njoo inbox unipe namba kwanza alafu mambo mengine yatafuataHabari zenu JF users,
Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.
Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.
Mwenye uhitaji karibu inbox
Lugha laini ungesema "nahitaji"Habari zenu JF users,
Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.
Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.
Mwenye uhitaji karibu inbox
Swali la kijinga kabisa, wakuu ufike wakati tuheshimu wanawake.Miaka yote ulikuwa wapi??
Thamani ya mtu haiko katika miaka.Miaka 33 na masharti hayo yote juu, wakati kuna walio malza vyuo miaka 23 hadi 25 hawana masharti yoyote
Kuna watu hawajitambui sana hadi aibuKwasababu ana miaka 33 ndo asiwe na vigezo?
Kama unaona haukizi vigezo vyake pita pembeni
SureWatu tuna stress tunahisi kua bullies kutatupa ahueni kumbe tunaonekana vinabo tu.
Ruka naye mkuu, nitakuwa mshenga au kaka wa hiari[emoji38]Sifa ninazo
nisingependa ku generalize lakini, experience yangu na wanawake karibia wanane waliokuwa wakitafuta wapenzi humu jf ni kwamba, WOTE WANA SURA NA MAUMBO MABAYA!!Habari zenu JF users,