Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
my dear sis, tukubali tukatae kuna standards za uzuri zilizowekwa na jamii ambazo ndizo zinatumika ku judge.kujifanya una huruma au una ubinadamu sana hakuondoi hy fact,kwamba kuna watu ni wazur, wengine wa kawaida na wengine ni wabyaaaaa!ngoja niupload picha yangu af unambie kama mm ni mzuri!!Uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu kwako mbaya kwa wenzako mzuri,in short usichokitaka wengine wanakithamini.How will you feel mtoto wako wa kike akiwa disvalued kama hivyo.Malipo hapa hapa duniani mkuu
Hivi kwa nini usianzishe uzi wako maalum na si kuniletea uzibe hapa?daah mwanaume umekuwa na mashairi kama mtunzi wa taarab!my dear sis, tukubali tukatae kuna standards za uzuri zilizowekwa na jamii ambazo ndizo zinatumika ku judge.kujifanya una huruma au una ubinadamu sana hakuondoi hy fact,kwamba kuna watu ni wazur, wengine wa kawaida na wengine ni wabyaaaaa!ngoja niupload picha yangu af unambie kama mm ni mzuri!!
we ni mbayaaaaa!, ungekua demu mzuri ungeshapata watu kitaani longi sanaa, we ni mbovuuu. kama unabisha weka picha yko apa wakulungwa wakufanyie analysis.Hivi kwa nini usianzishe uzi wako maalum na si kuniletea uzibe hapa?daah mwanaume umekuwa na mashairi kama mtunzi wa taarab!
Punguza masharti, nina miaka 25
Sasa ubaya unakuhusuje mtanzania wewe?fungua uzi wako wa kuwananga wabaya.bila shaka huo uzuri wako unaousifia utakuwa 'ladies and gentlemen'we ni mbayaaaaa!, ungekua demu mzuri ungeshapata watu kitaani longi sanaa, we ni mbovuuu. kama unabisha weka picha yko apa wana wakulungwa wakufanyie analysis.
Nimeshajibu wengiDada samahani wewe huna watoto
Kama unao wangap?
Nimeshajibu wengi
Ulishapata teyari?Habari zenu JF users,
Mimi ni mwanamke miaka 33, ni mkristo. Niko hapa jukwaani kutafuta mwanaume mwenye kujitambua.
Itapendeza umri kuanzia miaka 33, awe mkristo na mwenye hofu ya Mungu.
Akiwa na mtoto/watoto wasizidi wawili.
Awe mkweli.
Awe anatambua nafasi yake.
Mwenye uhitaji karibu inbox
Ukorrrrooffii huo! Anyway nilikuwa natania tu mamii.. nakutakia kila la kheri. Naweza kuja pm au umeshanimaind?Hata wewe kumkadiria mtu tabia kama vile wamfahamu sana nayo Mungu hapendezwi.inaonesha tu si msafi wa moyo
Wakati mwingine ukianzisha uzi kama huu, jitahidi kujizuia kujibizana na baadhi ya wadau. Maana wengine watakuletea kejeli na dharau ili wakutoe tu kwenye mstari.Sasa ubaya unakuhusuje mtanzania wewe?fungua uzi wako wa kuwananga wabaya.bila shaka huo uzuri wako unaousifia utakuwa 'ladies and gentlemen'