Natafuta Mume

Zamani ndo nilikuwa napaparikia nyuzi za hivi kwa kukimbilia pm!!
Nilipogundua ni uduanzi mnatulea saiz Hata sishtuki.
Mtu unaleta uzi, mtu akija huko pm eidha usijibu au ulete maringo!

Huo si ni UDUANZI
Inategemea sasa mtu anakuja pm anaandika Chura ipoo?? ivi nitakujibuje swali la kipuuz kama hilo. Nakukalia kmya ujione mpuuz.
 
Awe na
miaka 28...36
Mkaz wa Dar
Christian
Urefu asifike fut 6
Mengine tutawasiliana pm.

Mimi nna miaka 28 ni diploma holder.

Nimejiajiri ni mbena wa Iringa. Naishi Dar Mbezi.
Iringa hakuna wabena, Iringa ni wahehe labda kama unatokea Njombe.
 
Zamani ndo nilikuwa napaparikia nyuzi za hivi kwa kukimbilia pm!!
Nilipogundua ni uduanzi mnatulea saiz Hata sishtuki.
Mtu unaleta uzi, mtu akija huko pm eidha usijibu au ulete maringo!

Huo si ni UDUANZI
Swadaqta.
Upo sahihi niliwahi kutana nayo pia kiufupi hawako serous mtu anatafuta mume ukimfata hakuamini tena asa unajiuliza huyu ni mzima kweli au ana tatizo la akili.
 
Awe na
miaka 28...36
Mkaz wa Dar
Christian
Urefu asifike fut 6
Mengine tutawasiliana pm.

Mimi nna miaka 28 ni diploma holder.

Nimejiajiri ni mbena wa Iringa. Naishi Dar Mbezi.
Hata Mimi ni mbena WA Njombe dada, naomba wewe uje kwenye pm yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…