Natafuta Mume

Okechukwuuu wa njombe anazinguaaa
Anasema she dont deal with boys hao men anadeal nao hawajamuoa mbona...alafu anasahau kitu...boys will always be boys.

Mtu anauliza una tako wee unasema utoto kivipi wakati inaanza physical attraction baada ya hapo ndio tunaanza kuangalia tabia. Kila mtu na ugonjwa wake....mie demu lazima awe na matiti makubwa ndio ugonjwa wangu wengine tako
 
Mwaya wenye maswali ya kipuuzi wala usiwajibu, hawa wote wanaojilalamisha humu ndo wale wale, mtu alie serious atakuja akiwa serious wala hana muda wa kuanza kupayuka hapa kwenye public wala kuuliza upuuzi huko pm. Kila la kheri
 
Hao serious ashindwe kuwapata huko duniani ambapo wanamuona aje kuwapata hapa cyberspace kweli
 
Swadaqta.
Upo sahihi niliwahi kutana nayo pia kiufupi hawako serous mtu anatafuta mume ukimfata hakuamini tena asa unajiuliza huyu ni mzima kweli au ana tatizo la akili.
That's obviously wengi wanaotafuta wenza mitandaoni wanatatizo la akili kidogo, maana just imagine hawayaamini macho yao live,mi natongoza kitu ninacho kiona live na siyo kwa mtandao,na Kama kweli wapo basi watakua wachache sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…