Natafuta Mume

KusiniKuchele

Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
78
Reaction score
120
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia

Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja
-Nimejiajiri
-Nina mtoto mmoja(baba yake ni marehemu)
pm for a serious man only
 
Nakuja mke wangu tukayajenge ☺️☺️☺️❤️❤️❤️😍😍😍
 
Mgejua degree it just piece of paper ...mgeondoa hayo mawazo ya inferioty complex

Kuwa na degree doesn't mean mtu yupo smart kichwani na anaelewa namna ya ku-take of Family

Hakuna kundi la watu wajinga Kama Wasomi wa Tz it is up to you .
 
Nani ambae anawafundisha hivi kwamba mapenzi yapo kwa wenye degree na master's tu ? Haya kila lakheri utampata jiandae kua single mother mtarajiwa,
Ni sifa zake mkuu kama wewe hujasoma kinachokuuma yeye kujitangaza ana degree ni nini. Kuna watu wanapenda mwanamke aliyesoma wewe unapenda mwanamke asiyeenda shule kila mtu ana choices zake hivo waache w anaomatch naye wataongea naye wee pita kuleeeeeee
 
ubarikiwe sana update
P
 
Naked Truth, degree its just piece of paper
Tabia
Kujitambua
Kujua thamani ya mwenza wako
God fearing
Utu
Usafi wa Mwili roho na Matendo
Hard worker


Yaani Mambo Mengi kuyajua sio lazima uwe umesoma au msomi.
 
You seems to be a very toxic person hysee..
Embrace your choice.
 
Kila anaetaka mume anataka mwenye kujiajiri au kuajiriwa na mwenye degree. Mnasahau kundi la umri huo wenye degree ndio hawakuajiriwa na mwendazake na mianya yote ya fursa hawakuwa nayo.

Hilo kundi ndio wanashinda mitandaoni kuitana wapwa n.k

Ndio wale wanaoitwa vijana wa hovyo kutoka Jamuhuri ya Watu wa Hovyo.

Ukiingia kwenye 18 unapigishwa mtoto mwingine halafu unaletewa cheti cha kifo cha baba ambae yupo hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…