Natafuta Mume

Nilijua haka ka-degree kameniongezea uwezo wa kuchambua mambo tu na fursa za kujipatia mkate, leo ndio nagundua kumbe naweza kukatumia kupata utelezi, Aisee!!
 
Sisi tunaopinga hoja ya degree tunazo hizo degree that way tunajadili hii hoja kuwa degree za Tz can't work out anymore.

Huko chuoni tumesoma ni Anasa tupu
Anasa ni kawaida mkuu,
Hoja ni kwamba mtu mwenye Degree anazofaida nyingi katika ndoa..anaweza kudeal na opportunities tofauti tofauti zinazohitaji elimu na zisizohitaji elimu..tofauti kabisa na mtu ambaye hana Degree..tusiangalie ndoa upande mmoja tu wa mapenzi..hiyo ni sehemu ndogo sana ya ndoa..ndoa ni mambo mengine mengi tu ukiachilia hayo mapenzi ya kitandani..mtu mwenye degree pamoja na mambo yote ana upeo mkubwa sana sana ambao unaweza kusaidia kwenye ndoa.
 
Hamna kitu Kama hicho

You seem to live in illussion
Kujitambua and to be conscious sio lazima uwe na degree
 
Safi sana mkuu..rudi darasani haraka..ukishakua na Degree..pesa kidogo tu au kiajira uchwara wewe utaenjoy sana kwenye nchi hii ya Kusadikika..wasomi bado wachache sana hasa Degree na kuendelea
Labda huko kijijini kwenu ndo degree chache.

Tuliopo ndani ya jiji la kibiashara nchi hii degree hazina hata issue wapo wanapiga debe kama makondakta wa daladala.

Maelfu ya wasomi wanahitimu kila mwaka na ajira hawana.
 
Mtu mwenye degree hawezi kuwa kichwa panzi kama wewe...wewe hata certificate tu huna I guess bado upo O level huko unachapwa viboko..uelewa wako bado ni hafifu sana maana unaamini ndoa ni mapenzi ya kitandani tu unasahau ndoa ni majukumu lukuki ambayo elimu ni muhimu ili kuyakabili vyema.

Ona sasa hoja zako eti Degree ya Social Science,,unaidharau na hiyo wakati ndo maboss kila mahali...wanaopanga mishahara,allowance na benefits zingine makazini unafikiri ni hao waliosoma pure science?

Uelewa wako mdogo sana ndg yangu..funga domo lako unajidharirisha😀
 
Hizi degree zinazotolewa nchi hii ama unazungumzia degree za nchi zingine?

Degree za Kibongo za kukaririshwa ambazo hazina uhalisia kwenye life la mtaani
 
Acha hizi mentality jamaa langu utafeli pakubwa
Yaan hichi ulichoandika ni upuuzi na taka taka bin kichefu chefu
Hakunaga mambo ya udegree kwenye mapenzi ndugu yangu
 
Hamna kitu Kama hicho

You seem to live in illussion
Kujitambua and to be conscious sio lazima uwe na degree
Hivi nyie ni wasomi wa wapi msiojua umuhimu wa elimu katika maisha ya kila siku ikiwemo ndoa?

Nchi ina matatizo mengi sana hii wasomi feki ni wengi
 
Mm ni mstaafu 60+ lakini bado nina nguvu za kuvunja hata bikra.

NB:Sifa nyingine zote uliziandika ninazo.

Njoo binti ule mema ya pensheni.
 
Acha hizi mentality jamaa langu utafeli pakubwa
Yaan hichi ulichoandika ni upuuzi na taka taka bin kichefu chefu
Hakunaga mambo ya udegree kwenye mapenzi ndugu yangu
Tatizo mnafikiria kama panzi..ifikirie degree kwenye upande wa ndoa na maisha ya kila siku ya wanandoa na siyo mapenzi ya kitandani hapo utaona umuhimu wake...
 
Hivi nyie ni wasomi wa wapi msiojua umuhimu wa elimu katika maisha ya kila siku ikiwemo ndoa?

Nchi ina matatizo mengi sana hii wasomi feki ni wengi
Elimu ina umuhimu Sana lakini sio Kama unavyotaka kuaminisha watu kuwa ukiwa na degree ndo unaweza kuwa husband materials au wife materials this can't work out , illusion ni kitu kibaya Sana .
 
Hizi degree zinazotolewa nchi hii ama unazungumzia degree za nchi zingine?

Degree za Kibongo za kukaririshwa ambazo hazina uhalisia kwenye life la mtaani
Hakuna Degree ambayo haina uhalisia wa maisha..uwezo wenu mdogo wa kufikiria unafanya muone Degree hazina uhalisia wa maisha...
 
Mgejua degree it just piece of paper ...mgeondoa hayo mawazo ya inferioty complex

Kuwa na degree doesn't mean mtu yupo smart kichwani na anaelewa namna ya ku-take of Family

Hakuna kundi la watu wajinga Kama Wasomi wa Tz it is up to you .
Degree yenyewe ya CBE ,KIU sijui nene huko,wasitutisheeee
 
Wewe hiyo degree sasa hapo inahitajika ya nini?,au mila zenu inabidi apeleke na CV ukweni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…