Natafuta mume

Naamka na huu uzi


Dada Majumba Saba Unaendeleaje na zoezi la kutafuta mme??

Comment 10 za mwanzo ndiyo Huwa zinaamua muelekeo wa uzi
 
Naamka na huu uzi


Dada Majumba Saba Unaendeleaje na zoezi la kutafuta mme??

Comment 10 za mwanzo ndiyo Huwa zinaamua muelekeo wa uzi
Nipo sawa, siwezi kushusha vigezo na matarajio yangu kwa ajili ya mitazamo ya watu walio kata tamaa
 
Biasjara ni matangazo. Its either
1. Tapeli ( unataka wapiga mabwege pesa)
2. Unajiuza.


mwanamke anayefaa kuolewa na mwenye sifa huwa hatafuti mume anatafutwa yeye kuwa mke.
 
Unamtaka Vunjabei kumbe. Sawa amekusikia
 
ivi milioni tatu kwa mwezi😂😂😂😂😂
 
Unamtaka Vunjabeikumbe. Sawa amekusikia
 
Ha ha ha jamii forum kuna maparody siku hizi kijana wa miaka 32 atapata wapi mtaji wa million mia moja
 
Waoh🤣Mambo nitapendayo haya..very true👌Open and Transparency..No Unafki attached 🤣🤣👋

All the best ndugu yangu 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…