Natafuta mume

Ndugu mleta Uzi, Mbona hujibu DM tangu Jana, Tupo kujaribu bahati zetu.
 
Mhh mtego huu.
 
Your vAlues are very low compared with what you want to trade with. Maximize your values so that you trade with high value
 
Wewe labda awe malaika
 
Ulimaliza form six na miaka 21, ukasoma bachelor miaka 3, hiyo ni 24 ukasoma masters miaka 2 hiyo ndo 26. Hata ujapumzika unatafuta mme ambae ni fundi kitandani, wewe huo ufindi ulijifunzia wapi?
Hapana. Siku hizi watu wanamaliza f6 miaka 17. Miaka 21 bachelor tayari. 23 masters. 24,-26 kazini na ngono kwa sana
 
Hizo sifa aiseee πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Namba sita eti awe fundi kitandani na amri ya sita inasemaje ? Yaani wewe ni hovyo kabisa na hiyo eliminates yako ya degree 2 na kazi yako huko UN πŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…