Natafuta mume

Masharti yote nimesoma hamna ninalotoboa hata moja . Acha niwe mtazamaji
 
[mention]Demi [/mention] Hiki Chuma unakionaje? Afaa kuwa mke mwenza?
 
Kwenye swala la mtaji wa milioni mia na kioato cha milioni tatu, wewe hutafuti mme unatafuta danga tu
 
Una watoto wangapi?
 
Ungesema tu ukweli unatafta mtaji
 
Muombe Mungu utampata lakini wa viwango vyako itakuchukua muda sana kumpata 'It is true that money speaks louder than word but love is blindness' Swali fikirishi je mgodi umesoma? au unatema?
 
Aisee eti fundi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umedanga vyakutosha mpaka mijibwa ikakusifu ukaona Sasa usake dume

Mamaaaaa
 
Hakuna mke hapa huyu kibaka flani tu
 
Mwanaume mwenye vigezo unavyotaka Huwa anawake tayari aliekuwa nae wakat anaanza na 1 had wakafikia 100,na ukikuta yupo single maybe wametalikiana au mkew amefariki
Safi sana naona wanawake wenye kwa wenyewe manaza kupeana makavu liveπŸ‘
 

Mm nimesoma code hapa. Someni sifa za huyu dada. Na huyu anayesemwa na iwuinox then angalieni Majumba saba ana comment ngapi kwenye huu uzi halafu njoni mniambie kama ninachoamini sio sahihi.
 
HiiiiiiView attachment 2676598
 
Hapo utakuwa unatafuta mwekezaji na siyo mume. Bila shaka DP world itakufaa Kwa hiyo mil 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…