Natafuta mume

Huyu bado hajitambui yy ni kitu(sio mtu)​

Mithali 18:22​

Apataye mke apata

kitu chema​

 
Saikolojia yangu inaniambia kuwa kwa namna ulivyowasilisha sifa zako na mume unaemtaka, ni dhahiri una mitihani mgumu wa kumpata mume kuliko ulivyopambana ktk kusoma. Na hata ukimpata lazima awe tayari kuwa chini yako, kitu ambacho kwa wanaume wa kiafrika ni adimu.

Swali ni je unataka kuolewa au kuoa maan siyo kwa vigezo hivyo.
 
Hii research Yako utafanikiwa kupata inbox wengi kwasababu una kazi maana vijana wengi wa kiume hasa DSM wanataka KULELEWA.
 
wapmbv kama hawa ndo baadae wanaishia kupigwa mimba na kuwa masingomaza hlf wanarudi apaapa kutaka ndoa na yoyote anayepumua
 
0659 unatoa?
 
Ulimaliza form six na miaka 21, ukasoma bachelor miaka 3, hiyo ni 24 ukasoma masters miaka 2 hiyo ndo 26. Hata ujapumzika unatafuta mme ambae ni fundi kitandani, wewe huo ufindi ulijifunzia wapi?
Malaya kazini
 
Kuna watu wakisikia “World Vision “ wanazani ni bonge la shirika kama kufanya kazi UN ,

Kumbe [emoji3][emoji28]
 
Mtumeeeeeee imeandikwa kwenye baibo😢😭😢😥
 
Vijana tutafute hela.

Soko la wanaume huwa lina thamani kuanzia 35+ mmh amaizing muda upo sana tu.

KAZI IENDELEE
 

Bikra unayo???
 
Kwa hiyo tunaokunywa hatuna maadili mema, ndio maana mnapataga wachumba wa ovyo ovyo tuu
 
Ulimaliza form six na miaka 21, ukasoma bachelor miaka 3, hiyo ni 24 ukasoma masters miaka 2 hiyo ndo 26. Hata ujapumzika unatafuta mme ambae ni fundi kitandani, wewe huo ufindi ulijifunzia wapi?
Veta ya maneromango(.mwanalumango)
 
Habari za kwako Dada Mimi ndio yule Mwanaume ulio kuwa unanitafuta Sasa kabla sijaja pm nakuomba unitumie Wasifu wako ulio jitosheleza Ili na Mimi nifanye maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…